Nafasi za kazi zilizotangazwa leo - 2026

Pata Ajira Mpya Kila Siku

Ukurasa huu unakuletea nafasi zote za kazi zilizotangazwa leo nchini Tanzania. Tunahakikisha unapata taarifa za hivi punde kutoka makampuni binafsi na serikalini ili usipitwe na fursa yoyote.

New Various Jobs - Apr 2026

LATEST
HELPAGE INTERNATIONAL TANZANIA Logo

Social Worker

HELPAGE INTERNATIONAL TANZANIA Tanzania
Full-Time 2 years ago
View Details
Advertisement
BRAC Tanzania Logo

Legal Manager Cum Company Secretary

BRAC Tanzania Dar es Salaam, Tanzania
Full-Time 2 years ago
View Details
Airtel Tanzania PLC Logo

Airtel Money Revenue Assurance Lead

Airtel Tanzania PLC Dar es Salaam, Tanzania
Full-Time 2 years ago
View Details
VisionFund Tanzania Microfinance Bank Limited Logo

Network and IT Security Administrator

VisionFund Tanzania Microfinance Bank Limited Tanzania
Full-Time 2 years ago
View Details
Vodacom Tanzania Logo

M-Pesa Security Chapter Lead

Vodacom Tanzania Dar es Salaam, Tanzania
Full-Time 2 years ago
View Details
Women Fund Tanzania (WFT) Logo

Information Technology Officer

Women Fund Tanzania (WFT) Tanzania
Full-Time 2 years ago
View Details
Mohamed Enterprises Tanzania Limited(METL) Logo

Health Safety Environment Officer

Mohamed Enterprises Tanzania Limited(METL) Mbeya, Tanzania
Full-Time 2 years ago
View Details
BRAC Tanzania Logo

Technical Sector Specialist – Livestock

BRAC Tanzania Tanzania
Full-Time 2 years ago
View Details
BRAC Tanzania Logo

Technical Sector Specialist – Agriculture

BRAC Tanzania Tanzania
Full-Time 2 years ago
View Details
BRAC Tanzania Logo

Technical Sector Specialist – Market Development

BRAC Tanzania Tanzania
Full-Time 2 years ago
View Details

Habari zaidi kuhusu Nafasi za kazi zilizotangazwa leo Tanzania

Platform ya Ajiriwa Network inakusaidia kupata taarifa za hivi punde kuhusu nafasi za kazi na ajira mpya nchini Tanzania. Tunakusanya taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya kuaminika ikiwemo makampuni mbalimbali nchini, na tovuti za serikali (Utumishi Portal) ili kuhakikisha hupitwi na nafasi za kazi 2026.

Kama unatafuta kazi Dar es Salaam, Arusha, Mwanza au mikoa mingine yoyote, unaweza kutumia mfumo wetu wa utafutaji kupata matokeo yanayokufaa zaidi. Tunahakikisha kila vacancy inayowekwa inakaguliwa ili kuepuka matapeli wa kazi na kukuwezesha kupata ajira leo kwa usalama.

Jiunge na maelfu ya Watanzania wanaopata ajira kila mwezi kupitia mfumo wetu. Unaweza pia kutumia huduma yetu ya AI CV Builder ili kuboresha resume yako na kuongeza nafasi ya kuitwa kwenye usaili kwa ajili ya nafasi za Nafasi za kazi zilizotangazwa leo.