Nafasi za kazi zilizotangazwa leo

Pata Ajira Mpya Kila Siku

Ukurasa huu unakuletea nafasi zote za kazi zilizotangazwa leo nchini Tanzania. Tunahakikisha unapata taarifa za hivi punde kutoka makampuni binafsi na serikalini ili usipitwe na fursa yoyote.