Air Condition and Refregiration system
Tannesco
Dodoma
Full-Time
28th May 2021
Eliud Samson
0767438907
Dodoma
Veyula
13 July 2021
Manager
Tannesco
S.l.P 904
Dodoma
YAH: MAOMBI YA KAZI
Husika na kichwa cha habari hapo juu mimi naitwa Eliud Samson Nina umri wa miaka 23 na ninaishi Dodoma Veyula lengo langu nilikuwa naomba kazi katika kampuni kwa sababu mimi nibobea katika mfumo wa umeme Air Condition and Refregiration system nimesoma Veta Kihonda Morogoro miaka miwili na pia elimu ya ni ya secondary Form kwa alama ya division four ya 31 hivo basi naomba sana kupewa ajira kwa sababu mimi ni mchapakazi na nitafanya kwa uaminifu wote bila kwenda kinyume
Ni faraja sana kwangu endapo ombi langu litajibiwa
Wako mtiifu
E.Samson