Mwananchi Engineering and Contraction Company LTD(MECCO) inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi 6 kama zilivyoainishwa hapa chini.
FUNDI MCHUNDO DARAJA II(FUNDI MAGARI NA MASHINE (MECHANICS)-NAFASI 6
MAJUKUMU YA FUNDI MCHUNDO
i. Kufanya matengenezo kinga (preventive maintenance) ya magari na mashine na mitambo
ii. Kuchunguza na kutambua matatizo ya magari, mashine na mitambo na kufanya matengenezo
iii. Kufanya majaribio ya ubora wa magari, mashine na mitambo baada ya matengenezo
iv. Kuhakikisha utunzaji wa zana zinazotumika katika karakana za magari na mitambo
v. Kushirikian na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya shirika
vi. Kufanya kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na kiongozi wake
SIFA ZA MWOMBAJI
Mwombaji mwenye uzoefu wa kazi katika kampuni za ujenzi wa barabara
MASHARTI YA JUMLA
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi mika 45
ii. Waombaji wote waambatanishe cheti cha kuzaliwa
iii. Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza(Detailed CV) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini(referees) watatu wa kuaminika
iv. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakal za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sitakwa wale wliofikia kiwango hicho na vyeti by akuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi
v. Picha moja “Passport size” ya hivi karibuni
vi. Barua ya maombi ya kazi iliyosainiwa ielekezwe kwa afifsa rasilimali watu na inaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiingeraza au Kiswahili
vii. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria
viii. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 15 januari 2018
ix. Maombi yatakoywasilishwa nje ya utaratibu ulioaninishwa katika tanganzo hili HAYATAFIKIRIWA
x. Maombi yote yatumwe kupitia anuani ifuatayo
Human Resource Manager
Mwananchi Engineering and Contracting Company
P.O Box 720
Mandela Road, Mabibo External
Dar es Salaam, Email: hrmeccoltd@gmail.com