Health and Safety Officer Lodhia steel Industries Ltd Tanzania
Full-Time
15th January 2021

Maelezo

  • Lodhia Steel Industries Limited inatangaza nafasi ya kazi ya Health and Safety Officer.

Sifa

  • Awe na BSc. Environmental Sciences and Management.
  • Awe na ujuzi wa kutimia kompyuta.
  • Awe na vyeti vya mafunzo ya healthy and safety vinavyotolowa na OSHA
  • Awe n a uzoefu wa kufanya kazi hiyo usiopungua miaka 5, kipaumbele kitatolewa kwa aliyefanya kazi viwandani

Majukumu:

  • Kusimami shughuli zote za OSHA Kiwandani
  • Kusimamia shuguli za NEMC na ukaguzi (Auditing)
  • Kusimamia mazingira na usalama mahli pa kazi

Mshahara

  • Msharaha mzuri utatolewa

Maombi yote yatumwe kwa kupitia info@lodhiagroup.co.tz au yaletwe kiwandani Lodhia Steel Industries Ltd Kisemvule Mkuranga.

Mwisho wa kupokea maombi ni 15 january 2021.

Application

Sorry, this job no longer accepts new applications.