Junior HR Officer
Lodhia steel Industries Ltd
Arusha, Tanzania
Full-Time
16th March 2021
Nafasi ya Kazi: Junior HR Officer
Kituo Cha Kazi: Arusha
Maelezo:
Lodhia Steel Industries Limited inatangaza nafasi ya kazi ya Junior HR Officer.
Majukumu ya Kazi
- Kiandaa na kuhifadhi kanda data (Daba base) ya wafanyakazi
- Kushiriki katika kuandaa na kuendeleza mfumo wa sera na taratibu za HR Katika kampuni
- Kusimamia mahudhurio na utendaji kazi kwa wafanyakazi
- Kutatua migogoro na kuongoza taratibu za kinidhamu kwa mujibu wa sheria na kanuni za kazi
- Kushiriki katika kuandaa Payroll
- Kushughulikia likizo na malipo mengineyo ya wafanyakazi
- Kushiriki katika mchakato wa uajiri wa wafanyakazi
- Kufanya kazi nyingine ambazo atapangiwa na kiongozi wa kazi
Sifa za muombaji
- Muombaji awe na shahada/astashahada katika fani ya Rasilimali watu
- Awe mwenye uelewa wa sheria za kazi
- Awe amewahi kufanya kazi viwandani
- Awe na umri usiopungua miaka 28 na uzoefu wa kazi kati ya miaka 3 hadi 4
- Awe na ujuzi wa kutimia kompyuta
- Awe shupavu na mwenye uzoefu wa kuongea kiingereza na kiswahili kwa ufasaha
Mshahara:
Mshahara mzuri utatolewa
Maombi yote yatumwe kupitia barua pepe info@lodhiagroup.co.tz