Junior HSE Officer
Lodhia steel Industries Ltd
Arusha, Tanzania
Full-Time
16th March 2021
Nafasi ya Kazi: Junior HSE Officer
Kituo Cha Kazi: Arusha
Maelezo:
Lodhia Steel Industries Limited inatangaza nafasi ya kazi ya Junior HR Officer.
Majukumu ya Kazi
- Kufanya ukaguzi na kutoa mapendekezo kwa uongozi wa kampuni juu ya namna bora ya kuboresha afya, usalama na mazingira mahala pa kazi
- Kukuza uelewa kwa wafanyakazi kuhusian ana masuala ya afya, usalama na mazingira kazini
- Kufanya tathnini za ajali mahala pa kazi
- Kuhakisha ufuatiliaji, upatikanaji na utunzaji wa nyaraka zote zinazohusiana na masuala ya afya, usalama na mazingira mahala pa kazi
- Kutaarifu uongozo wa kampuni juu ya mabadiliko yoyote ya sheria ya afya, usalama na mazingira
- Kuandaa vikao vya afya, usalama na mazingira
- Kusaidia uongozi katika utekelezaji wa mfumo wa afya, usalama na mazingira
- Kufanya uchunguzi wa ajali itakapohitajika
Sifa za muombaji
- Muombaji awe na shahada katika fani ya Sayansi ya utunzaji wa Mazingira au inyohusian.
- Awe amewahi kufanya kazi viwandani
- Awe na umri usiopungua miaka 28 na uzoefu wa kazi kati ya miaka 3 hadi 4
- Awe shupavu na mweny uzoefu wa kuongea kiingereza na kiswahili kwa ufasaha.
Mshahara:
Mshahara mzuri utatolewa
Maombi yote yatumwe kupitia barua pepe info@lodhiagroup.co.tz