Security Guard, Cleaners, Drivers
Full-Time
29th April 2026
Nafasi za Ajira Tanzania - Nova Enterprise
Kampuni ya Nova Enterprise, yenye makao makuu nchini Marekani (USA), inatangaza nafasi za ajira kwa Watanzania wanaoweza kufanya kazi zifuatazo:
Nafasi Zinazopatikana:
- Security Guard (Mlinzi)
- Cleaners (Wafanyakazi wa Usafi)
- Drivers (Madereva)
Jinsi ya Kuomba:
Tuma CV yako moja kwa moja kwa Meneja kupitia barua pepe ifuatayo:
Kumbuka: Kutuma maombi yako mapema kunaweza kuongeza nafasi yako ya kuchaguliwa.
Tarehe ya Mwisho wa Kufungia Maombi:
29/04/2026
Tunakaribisha maombi kutoka kwa wagombea wote wenye sifa na ari ya kufanya kazi.